WAZAZI CHINA SASA KUWEKA WATOTO WASIOWAHITAJI KWENYE MABOXI...
0
Mpango wa jiji moja la Uchina ujulikanao kama "baby box" ambapo wazazi wanaweza wakaweka watoto wasiyowahitaji umezua utata mkubwa baada ya mpango huo kuonekana ni kinyume na maadili.
Hata hivyo mkuu wa shirika hilo la Shenzhen, Tang Rongsheng,amesema kuwa karibu watoto wachanga 100 waliotelekezwa waliletwa katika
Kituo chake mwaka huu, hivyo shirika hilo linajaribu kuweka maslahi ya watoto hao mbele.