Staa wa filamu ya 'Fast & Furious' Paul Walker ameripotiwa kufariki
dunia siku ya jana Novemba 30, baada ya kukutwa na ajali mbaya ya gari
huko Los Angeles Marekani akiwa njiani kuelekea kwenye chairty event
iliyoandaliwa na kampuni yake ya Reach Out Worldwide.
Paul, pamoja na mwezake aliyekuwa akiendesha gari hilo (Porsche nyekundu), alifariki papo hapo. Ameacha mke na mtoto mmoja
No comments:
Post a Comment