Monday, 10 February 2014

Paul wa Psquare afunguka kuhusu ndoa yake...Zama humu...

Peter Okoye kutoka kundi la P Square, katika kipindi hiki ambapo wasanii kuila mema ya nchi, amesisitiza kuwa, licha ya tofati za majukumu yao katika kundi, siku zote wamekuwa wakigawana nusu kwa nusu pesa wanazotengeneza.

Peter pia ametangaza kuachia kazi mpya siku ya leo ambapo wamewataka mashabiki kukaa tayari kwa ujio huu mpya.

Habari kubwa pia kutoka kwa kundi hili ni kuwa Paul Okoye naye kwa sasa anajiandaa kwa ajili ya kufunga ndoa yake ya kimila na mpenzi na mama mtoto wake Anita mwezi Machi mwaka huu.

No comments:

Post a Comment