
Siku moja tu baada ya ubatizo wa mtoto wao George Alexander, Kate, amekuwa mgeni rasmi katika ikulu ya Kensington katika maadhimisho ya kuwasaidi watu wenye ulevi wa aina mbalimbali. Kate alitupia gauni maridadi lilobuniwa na mbunifu wake Jenny Packham.
No comments:
Post a Comment