Mapigano na ghasia
zimesitishwa kwa muda nchini Ukraine wakati Rasi wa nchi hiyo Viktor
Yanukovich akifanya mazungumzo na upinznai nchini humo. Kusitishwa kwa mapigano hayo
kulikoanza hapo jana, ni baada ya siku kadhaa za mapigano mjini Kiev
ambapowaandamanji watatu walipoteza maisha.
Waandamanaji hao walisitisha
ghasia kwanzia jumatano kufuatia amri ya viongozi wao wa upinzani
waliowataka waache ghasia mpaka mda aliopewa Rais Yanukovich wa
kuachia madaraka kumalizika.
Rasi huyu alipewa masaa 24 kuachia ngazi.
Waandamaji hao wanataka Rais
aivunje serikali na kuita chaguzi mapema na kufutilia mbali sheria inayonyima maandamano. Aliyekuwa bondia na kugeuka
mwanasiasa mashhuhuri nchini humo Vitali Klitschko, ambaye pia ni
kiongozi w aupinzania w achama cha UDAR (Punch), alisema Rais
Yanukovich anatakiw aanze kw akuachia matek waliokamwatwa wakati wa
maandamano hayo.
No comments:
Post a Comment