OBAMA AANDIKA BARUA KWA MWALIMU MTATA MAREKANI...MWL AIKOSOA MBAYAAAAAAAAA....ZAMA
0
RAIS wa Marekani Barack Obama ameandika
barua binafsi kwa Mwalimu mmoja Huko Marekani akijaribu kumuelezea
kiangaubaga dhumuni hasa la mswada alioupendekeza wa Afya unaleta
utata mwingi hivi sasa nchini humo.
Mwalimu Thomas J. Ritter, mwenye umri
wa miaka 49, ambaye anafundisha darasa la tano katika shule moja ya
msingi huko Texas nchini Marekani, amuandika Rais Obama Barua
akimkosoa kwa mpango wake huo wa Bima ya afya akisisitiz akuw asio
mpango mzuri kwa wamarekani.
Hata hivyo Mwalimu huyu al;ishngazwa
sanna kama mtu mwingine yeyote kwa kupata majibu ya barua hiyo kutoka kwa kiongozi huyo mkuu wa nchi tena kwa mwandiko wake mwenyewe.
Katika barua hiyo Rais aliyoiandika kwa
Bw. Ritter, Rais alitetea mpango huo wa afya na kukiri kuwa swala
hilo la afya haliwezi kuhusishwa na siasa.
Rais aliandika kuwa anauhakika
wananchi wa Marekani wanahitaji Mpangio huo na kwamba Mwalimu Ritter
asiutazame mpango huo kisiasa bali autizame kama njia moja wapo ya
kuleta faraja kwa Wamarekani.
Moja ya sentensi zilionekana kumkera
zaidi bwana Obama ni ile ambayo Bw. Ritter anasema mswada huu wa afya
umeleta sumu katika mandhari ya nchini humo.
Ama Kweli... Wamarekani... Tunasema
acha Mbele kuitwe mbele...