UTAFITI WA MAPENZI YA DHATI WABAINISHWA KWA PICHA...ZAMA HUMU
0
Kwa maneno mengine, mitazamo walionayo wapenzi haielezei kwa kina mapenzi yao halisi baada ya muda mrefu kutoka sasa.
Lakini wale walionesha Reaction Chanya basi wanadalili za kufanikiwa katika uhusiaqno wao.
Utafiti huu umechapishwa katika jarida la Kisayansi huko Marekani.
Kiongozi wa utafiti huo, Profesa Prof James McNulty kutoka chuo cha Florida, amesema utafiti huo unaelezea ukweli zaidi ya watakavyo dai wapenzi wenyewe au hata jamii inayowazunguka.