 |
Vernita Gray, Patricia
Ewert kabla ya ndoa yao |
Mwanamke mmoja huko Chicago nchini Marekani ambaye anaugulia ugonjwa wa
Kansa, (na kama unavojua wenzetu keshaambiwa anasiku chache duniani),
amefunga ndoa ya jinsia moja na mpenzi wake wa siku nyingi sherehe
iliyofanyika huko Illinois, miezi 6 kabla ya sheria ya jimbo hilo
inayoruhusu ndoa za jinsia moja kuanza kutumika rasmi.
 |
Vernita Gray, Patricia
Ewert |
Mgonjwa huyu, Vernita Gray, mwenye umri wa miaka 64, na Patricia
Ewert, mwenye umri wa miaka 65, walioana katika harusi iliyofanyika
nyumbani kwao siku mbili baada ya kupewa leseni ya hati ya harusi ya
dharura mahakamani.
 |
Baraza wakati wa kusaini mswada wa ndoa za jinsia moja. |
 |
Wageni wakifurahi andoa hiyo ya Jinsia moja wakiw akama ndugu na marafiki |
No comments:
Post a Comment