WANAWAKE WAWILI WAFUNGA NDOA, BAADA YA MMOJA KUUMWA SAAAAANA.....

0
Vernita Gray, Patricia Ewert kabla ya ndoa yao

Mwanamke mmoja huko Chicago nchini Marekani ambaye anaugulia ugonjwa wa Kansa, (na kama unavojua wenzetu keshaambiwa anasiku chache duniani), amefunga ndoa ya jinsia moja na mpenzi wake wa siku nyingi sherehe iliyofanyika huko  Illinois, miezi 6 kabla ya sheria ya jimbo hilo inayoruhusu ndoa za jinsia moja kuanza kutumika rasmi.

Vernita Gray, Patricia Ewert
Mgonjwa huyu, Vernita Gray, mwenye umri wa miaka  64, na Patricia Ewert, mwenye umri wa miaka 65, walioana katika harusi iliyofanyika nyumbani kwao siku mbili baada ya kupewa leseni ya hati ya harusi ya dharura mahakamani.

Baraza wakati wa kusaini mswada wa ndoa za jinsia moja.

Wageni wakifurahi andoa hiyo ya Jinsia moja wakiw akama ndugu na marafiki





0 comments: