Hii Hapa ndiyo kauli ya Barnaba Boy juu ya Ndoa yake ....
0
Msanii Barnaba ... |
Barnaba mbali na mambo mengine amefunguka juu ya Ndoa anayotegemea kuifunga
hivi karibuni na Mama wa Mtoto wake akisema anategemea kukamilisha mchakato wote huo ndani ya Mwaka huu.
Barnaba Boy na Prudence Gerald |