Kama hujafahamua malipo ya wajumbe wa bunge la katiba...HAPA...

0
Waziri wa Katiba na Sheria Dk Asha Rose Migiro
 Wajumbe wa Bunge la Katiba Watalipwa shilingi 700,000 kwa siku, na mkutano unatazamiwa kuwa wa siku 70 mpaka 90.


Wananchi wanaosema ni Lazima...
Wakikaa siku 90...kila mmoja ataondoka na Mil 63. Wakimaliz ahapo si Bunge la Bajeti Linaanza. Serikali bado inalalamija haina hela... Lakini Inawezekan hii bajesti ilitengwa...EL OU EL


Rais Kikwete
Tukielimishwa juu ya Katiba.

0 comments: