Paul wa Psquare afunguka kuhusu ndoa yake...Zama humu...
0
Peter Okoye kutoka kundi
la P Square, katika kipindi hiki ambapo wasanii kuila mema ya nchi, amesisitiza
kuwa, licha ya tofati za majukumu yao katika kundi, siku zote
wamekuwa wakigawana nusu kwa nusu pesa wanazotengeneza.
Peter pia ametangaza kuachia
kazi mpya siku ya leo ambapo wamewataka mashabiki kukaa tayari kwa
ujio huu mpya.
Habari kubwa pia kutoka
kwa kundi hili ni kuwa Paul Okoye naye kwa sasa anajiandaa kwa ajili
ya kufunga ndoa yake ya kimila na mpenzi na mama mtoto wake Anita
mwezi Machi mwaka huu.