SAFARI YA MWISHO YA MWENZETU KENNETH KIDAGO LYANGA

0
Leo ndiyo siku ya Mazishi ya Rafiki yetu, Kaka yetu na Mfanyakazi
mwenzetu Kenneth Kidago Lyanga. 
Wakati wa Misa Takatifu. 




 Wakati wa Kuuaga mwili





Baadhi ya Waombelezaji baada ya kuuaga Mwili

Aliyeshikiliwa ni Mzazi mwenzake Marehemu Kenneth Kidago Kushoto kwake ni Kaka wa Marehemu.

Mzazi mwenzake Kenneth Akilia kwa Uchungu.


Mwili wa Marehemu ukibebwa kutoka kanisani tayari kwa Safari.





Mtoto wa Kwanza wa Marehemu Jesca Kidago Akitizama picha ya baba yake kwa Uchungu

Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali watu EATV, Mama Mary Nnko akielekeza jambo kwa Ndugu wa Marehemu.


Baadhi ya wafanyakazi wa Eatv. Kutoka Kushoto Alex Galinoma, Dickson Matikila, Patrick Nyembera na Musa Kondo wakingojea taratibu.

Wafanyakazi wa East Africa Radio Pamoja na Mkurugenzi

Baadi ya waombelezaji ndugu na marafiki

Wafanyakazi wa East Africa Television wakingojea safari

Wafanyakazi wa East Africa Radio.
Safari ya Kuelekea Morogoro
 
Hatuna Budi kukubalio kuwa yote ni kazi ya Mungu... 
Mungu ailaze roho ya Marehemu Kenneth Kidago Lyanga Mahala pema peponi. Amen.
Mbele yetu, na sisi Nyuma yake. Jina la Bwanan Lihimidiwe.

0 comments: