WANAFUNZI WANYIMWA KUPEANA MIKONO BAADA YA MICHEZO
0
Shule za sekondari katika jimbo la
Kentucky nchini Marekani zimepigwa marufuku kupeana mikono baada ya
michezo kumalizika, baada ya kuwepo kwa mapigano baina ya wanafunzi kwa
miaka mitatu iliyopita.
Maafisa wa mechi wameonywa kuhakikisha
vifaa vya michezo vinaachwa uwanjani la sivyo wataweza kupigwa faini
kubwa.
Uongozi ulisema kwamba inasikitisha
kuchukua hatua hiyo lakini imewalazimu kutokana na fujo zisizokuwa
na msingi kwa wanafunzi.