MAMBO 7 YATAKAYOBADILISHA KABISA MTAZAMO WAKO WA DUANIA NA VILIVYOMO

0


Mabara yanaonekana tofauti sana na unavyoweza kufikiria.






Kama unaamini kwamba wewe kweli ni mmoja kati ya watu duniani, anza kufikiria upya. Kwasababu wapo watu takriban  7,184 waliofanana na wewe. 



Marekani wala haijaweza kuwa kati ya Mataifa 50 ambayo yameitawala dunia kwa muda mrefu mpaka sasa.




 Asilimia 10 ya watu wazima duniani hawajui kusoma wala kuandika.




 Mfumo mzima wa maisha na mazingira upo tumboni mwako.


Hauwezi kuona rangi nzuri kama anazoziona kuku. Pia haujawahi kuona rangi zote za upinde wa mvua.



Hatujawahi kufahamu siri iliyopo baada ya kifo. Lakina Samaki huyu (Jelly Fish) Amewahi kuifahamu siri hiyo.


Wamarekani wanatumia takribani masaa 38 kwa mwaka kwenye Foleni za barabarani. Upo apo?


0 comments: