MWANAMKE WA KWANZA KUIONGOZA BENKI KUU MAREKANI
0
JANET YELLEN |
Mwanamama msomi JanetYellen amekuwa mwanamama wa kwanza kuiongoza benki kuu ya marekani yaani "The Federal Reserve" baada ya kuteuliwa na Rais wa Marekani Barack Obama.
Yellen mwenye Umri wa miaka 67, amewahi kufundisha chhuo kikuu cha Harvard ameahidi za kutosha ajira kwa Maelfu ya Wamarekani.
JANET YELLEN |