MILEY CYRUS: BANGI NDO KILA KITU KWANGU

0
Miley Cyrus
Mwanadada Miley Cyrus amekiri kupenda Bangi kuliko kilevi kingine chochote maishani mwake.

Mwanamuziki huyu asiyeisha vituko wengio wakidai amelewa umaarufu ameweka wazi hili alipoku wakifanya mahojiano na jarida moja huko Marekani.

ALisema hatakama Hollywood inapendelea zaidi "COKE" kwa maana kuw ait is a coke town, Miley amesema kilevi hicho hakimvutii kabisa.

Miley Cyrus

0 comments: