WAZIR MKUU WA LIBYA AACHIWA BILA MAJERAHA

0
Masaa machacHe baada ya watu wasiojulikana kumteka Waziri mkuu wa Libya Ali Zeidan katika hoteli ya kifahari, ameachiliwa masaa machache badae bila majeraha yoyote.
Afisa wa Serikali ameeleza kuwa yupo katika hali nzuri na anaelekea ofisini kwake.

0 comments: