JOSEPH AFUNGIWA KWENYE MTI MIAKA MINNE
0
Mchungi mmoja wa Kijerumani alikuwa akifanya shughuli zake za kila siku alipokutana na Mbwa aliyebatizwa jina la Joseph akiwa amefungiwa kwenye mti. Inasemekana mbwa huyu alifungiwa katika mti huo kwa takriban miaka minne. Alieyekuwa mmiliki wa Mbwa huyu Jeremy Shane Temple, sasa ameshikiliw ana polisi kwa tuhuma za ukatili kwa wanyama.
Kibongo bongo hiii ikojee? Mbwa bila hata kufungiwa mtini anaweza akawa kama huyu.
Kibongo bongo hiii ikojee? Mbwa bila hata kufungiwa mtini anaweza akawa kama huyu.