SERIKALI TANZANIA YATAKIWA KUFUTA ADHABU YA KIFO

0
Kituo cha sheria na haki za binadamu Tanzania Legal and human rights centre (LHRC) kimeitaka serikali kuondoa sheria ya adhabu ya kifo kwa madai kuwa uwepo wa adhabu hiyo unabeba dhana ya kulipiza kisasi badala ya kurekebisha.

0 comments: