BOSI MKUBWA SAMSUNG AJIUZULU

0

Wakati huu ambapo kampuni hii inafanya vizuri zaidi duniani, Bosi mkubwa ajiuzulu wadhif awake katik akampuni hiyo huko Marekani.

Haijulikani mpaka sasa kwanini Kevin Packingham, ambaye ni mkuu wa idara ya bidhaa amecghukua uamizi huo. Kw amuda wake wa miaka 2 amefanya mambo mengi ikiwemo kuanzish ahudum ampya za Samsung kama vile  The Universe 3 smartphonemwaka uliopita.

0 comments: