Mwnadishi nchini Canada Alice Munro ameshiond atuzo ya Nobel kwa fani ya uandishi yaani Literature kwa mwaka huu. Alipata tuzo hiyo kutoka chuo cha Sweden kijuulikanacho kanaThe Royal Swedish Academy of
Sciences jiijini Stockholm, kwa kuandika tungo zenye mvuto zaidi duniani.