Huu Hapa Ushauri wa Paul Mashauri kwa Vijana...
0
Paul Mashauri |
Mdau mkubwa wa filamu ambaye pia
anamiliki kampuni za utayarishaji Video, Paul Mashauri, amewataka
vijana wenye vipaji na wanaopenda fani ya kuigiza hapa nchini, kuamka
na kuchukua hatua kujiingiza katika fani hii, ili kusaidia kuleta
ladha,
vipaji na mawazo mapya ili kuendeleza fani hii ambayo inakuwa
kwa kasi Tanzania.Paul Mashauri na Prudence Gerald katika ofisi za Eatv |