Marya asisitiza mpenzi wake sio raia wa Kenya NA haishi Kenya...LOL
0
Msanii wa muziki kutoka 254 Kenya...Marya ameendelea kukanusha kuw ahakun lolote linaloendelea kati yake na Ex wake Moustapha baada ya uvumi kuwa wawili hao wamekuwa wakionekana pamoja isivyo kawaida.
Marya alisema kuwa alionana na Moustapha hivi karibuni kwasababu alitakiwa kumpelekea fedha alizoagizwa na rafiki yake na si vinginevyo. Bi dada huyo ambaye amewahi kuwa na Jamaa mmoja hapa bongo jina
kapuni amesisitiza kuwa kwa sasa ana mpenzi asiye mkenya na wala hayupo nchini humo kwa sasa.