MAPYA KUMHUSU GAIDI HUYU MWANAMKE..KUMBE ALIJIFUNGUA SA KWA JINA FEKI....

0
 Mwanamke anayehitajika zaidi na dunia kwa tuhuma za kuwa nyuma ya pazia akisuka mipango ya kigaidi Samantha Lewthwaite, aliwahi kukodi kliniki ya Kifahari huko Afrika ya Kusini kwa ajili ya kujifungua mwanae wa 4.

FAMILIA HOSPITALINI

CHUMBA KILICHOTUMIKA
Wakati mwanamama huyu ambaye mume wake aliwahi kukamatwa na polisi wa kimataifa kwa ugaidi,alijifungua mtoto wa kike ambaye baba yake anasadikiwa kuwa ni gaidi maarufu Abdi Wahid.




 
Ona wanae anaotarajia kuwafanya magaidi


WATOTO WAKE WANAOTENGENEZWA KUWA MAGAIDI

 Magaidi hawa waliingia kliniki hiyo kwa majina ya uongo.

Mwanamama huyu aliandikishwa kuw amkazi w amaeneo manne tofauti ya mji wa Johanesburg.

Haya yamejulikana hivi karibuni baada ya pich akukutwa katika Laptop ya mwanaume wake huyo zikionesha wakiw akatik amaeneo tofauti ya Afrika kusini. 


  



0 comments: