Showing posts with label BUSINESS. Show all posts

Huu Hapa Ushauri wa Paul Mashauri kwa Vijana...

0
Paul Mashauri
Mdau mkubwa wa filamu ambaye pia anamiliki kampuni za utayarishaji Video, Paul Mashauri, amewataka vijana wenye vipaji na wanaopenda fani ya kuigiza hapa nchini, kuamka na kuchukua hatua kujiingiza katika fani hii, ili kusaidia kuleta ladha,
Read More

MAGAZETI YOTE UYAPENDAYO LEO TAREHE 29 Jan '14

0



Read More

KURASA MUHIMU ZA MAGAZETI KWA LUGHA YA KIINGEREZA LEO 23rd Jan'14

0

Find out what TFF has on on Okwi's case

 

TANZANIA BREWERIES LTD ON FIRE....FIND OUT MORE

Read More

KURASA MUHIMU ZA MAGAZETI YA KIINGEREZA HII LEO 21 JAN 2014.

0





Read More

NDEGE NCHINI GHANA YAGEUKA MGAHAWA ...ONA ILIVYO YA KISASA

0
Ndege iliyokuwa imechakaa ya kampuni ya Ghana Airways imegeuzwa na kuwa mgawa wakuweza kuhifadhi  zaidi ya wateja 118 ikiwa inauwezo wa kuhudumia wasafiri katik auwanja wa ndege na hata wenyeji wanaopendelea kupata chochote katika mgahawa huo.

PICHA TANO ZA KUSISIMUA ZA MGAHAWA HUO ....ZAMA HUMU


Read More

WABUNGE UGANDA WAANZA MAFUNZO YA KUTUMIA IPAD...

0
Vimbwanga vya matumizi ya Tabiti yaani I pads nchini Uganda vimeendelea kwa wabunge nchini humo ambao sasa wanahitaji mafunzo ya kutumia Ipad hizo kutokana na wengi wao kushindwa kuzitrumia kabisa.

 


Bunge la Uganda limeingilia kati kupunguza presha za wabunge hao ambao wanahaha kushindwa kuzitumia Ipad hizo. Wabunge nchini Uganda wameanza kufanyiwa mafunzo na kitengo na Tenknoljia IT cha Bunge hilo ili kufaya kazi zao kwa ufasaha kwani taarifa zote watakuwa wakizipata kupitia Ipad hizo.

Wiki Iliyopita wabunge wote wapatao 375 walipewa Ipad hizo ikiwa ni hatua inayofikiriwa kupunguza matumizi makubwa ya karatasi.

WABUNGE WAKENYA NAFASI YA PILII KWA MALIPO YA JUU DUNIANI...

0
 
Wabunge wa bunge la Kenya wametajwa kuwa wapili katik aorodha ya wabunge wanaolipwa zaidi duniani, wakiwapiku wenzao kutoka nchini zilizoendelea zaidi duniani kama Marekani, Uingereza na Japan.

Utafiti uliofanywa na Mamlaka huru ya Viwango kwa Mabunge ya Uingereza(IPSA) ikishirikiana na Shirika la fedha duniani (IMF) umeonesha kuwa wabunge nchini kenya wanalipwa mara 220 ya pato la taifa la sh. Elfu 84,624. Kwa mt mmoja mmoja kwa mwaka.
Read More

OBAMA AANGUKA KIUWEZO: FORBES

0
Vladimir Putin Raqis wa Urusi
Kuna msemo usemao kuwa wa kwanza si kazi.. Kazi kubaki wakwanza. Hili limemsibu Rais Barack Obama wa Marekani baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kutajwa kuwa mtu mwenye nguvu na ushawishi zaidi duniani kupitia jarida la Marekani la Forbes.

Putin amempiku Rais Barack Obama ambaye kwa sasa anashikilia nafasi ya pili katika orodha hiyo.

Habari kutokana na Jarida hilo zinaeleza kuwa Obama amekumbwa na anguko hili mapemo isivyo tarajiwa huku Putin akionesha uwezo wake mkubwa wa kukabiliana na mambo mbalimbali ndani na nje ya nchi.

Hii ni kwa mara ya kwanza kwa miaka mitatu ambapo Rais Obama ameangushwa kufikia nafasi ya pili katika Orodha ambayo hutolewa na Jarida hili la Forbes.

Barack Obama Rais wa Marekani
Hali hii imehusishwa na mshikemshike kati ya Marekani na Urusi katika Vita nchini Syria.

Rais Putin ambaye amekuwa akizitawala siasa za Urusi kwa muda wa miaka 12 sasa, alichaguliwa tena kama Rais wa nchi hiyo Mwaka jana mwezi machi.

Read More

TANZANIA SI RAFIKI MZURI WA UWEKEZAJI :RIPOTI

0
Kutobadilishwa kwa sera na mifumo ya uwekezaji nchini Tanzania kunaweza kuwa sababu ya kuiponza Tanzania katika orodha ya Nchi Afrika Mashariki ambazo ni rafiki wa uwekezaji yaani (business-friendly nation in the region) report.

Read More