KIFO CHA MGIMWA: MAKINDA ATAMKA SENTENSI TATA SANA...

0
Anne Makinda
Katika kuuaga Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kalenga Iringa Vijijini na Waziri wa Fedha William Mgimwa, apo walioguswa sana na msiba huo iasi cha kutamka sentensi zenye utata.

Mama Makinda alikiri kusema  
"Bora angekufa Mwingine, lakini Sio Mgimwa."

Anne Makinda

Katika hali siyokuwa ya kawaida, wengi walionekana ku

chukulia Poa swala hili, hali hiyo ambayo kwa wengine ni utata mtupu.



Toa maoni yako
Anne Makinda

0 comments: