Showing posts with label SCIENCE/TECHNOLOGY. Show all posts

See How Gloria Mangi has made Tz's Proud... Cong's Girlfriend

0
Tanzania’s Gloria Mangi has been named among 20 semi-finalists in Google’s Africa Connected competition launched last August. The initiative aims at gathering the largest collection of inspiring stories about ventures established online by Africans, in Africa.

In June, last year, Ms Mangi launched African Queens Project, a website to promote her community’s improvement, which celebrates African women who are significant activities that give back to their communities. The site -- africanqueensproject.com -- shares successful stories via blog posts, audio clips and videos.The young Tanzanian and the 19 other semi-finalists were picked from over 2,200 entries across 35 countries on the continent.

The 25-year-old who works with Maanisha! -- an organisation that seeks to impact change through education and entertainment -- received an award for the same project in August 2013.
African Queens Project was nominated in the category of power of women as contributing in developing UN goals. Ms Mangi is also a Smart 29er – a network of young Tanzanians working with the government to create dialogue on issues hindering country’s development.

From the 20 semi-finalists -- including five Kenyans, six South Africans, three Nigerians, two Ghanaians, and one each from Senegal, Tanzania, Uganda and Zimbabwe -- will be chosen top five.
Google Lead for Africa Connected Affiong Osuchukwu said the five winners will each receive
Read More

The World's Tallest Buildings...Find them, out here....

0

SIKU YA SARATANI DUNIANI...ONA TAHADHARI ILIYOTOLEWA

0
Shirika la Afya duniani WHO limeonya kuhusu kuibuka kwa wimbi baya la maambukizi ya ugonjwa hatari wa saratani kote duniani. Shirika hilo limesema nusu ya maambukizi ya saratani yanaweza kuzuiwa na kwamba juhudi mpya zinastahili kufanyika ili kukabiliana na tatizo la kunenepa kupita kiasi, ulevi na uvutaji sigara.

Watu milioni kumi na nne wanajulishwa kuwa wanaugua saratani kila mwaka, lakini idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka na kufikia milioni ishirini na nne katika kipindi cha miongo miwili ijayo.

Taasisi ya utafiti wa kimataifa kuhusu ugonjwa wa saratani katika shirika la WHO lilionya kuwa gharama ya matimabu inaongezeka kwa kiwango ambacho ni vigumu kumudu. Taasisi hiyo imesema serikali zinahitajika kutekeleza sheria kali zaidi kuhusu matumizi ya pombe na sukari kama vile kuongeza bei na kukataza matangazo ya kibiashara ya bidhaa hizo.

Wakati huohuo, Wanasayansi wanaamini kuwa unywaji mwingi wa pombe unaweza kuleta hisia zisizo za kawaida mwilini ambazo zinaweza kuiweka ngozi katika hatari zaidi ya kupata Saratani ya ngozi.

Kemikali ya Ethanol inapogeuzwa kuwa “Acetaldehyde” baada ya ulaji wa chakula,kemikali hii yaweza kuiwezesha ngozi kupenyeza miale hata ya jua (UV light).

Watafiti waliofanya ugunduzi huo, nchini Uingereza wanakubali kwamba kuna mambo mengine yanayochangia mtu kupata Saratani ya Ngozi.

Sarah Williams wa Utafiti wa Kansa, Uingereza alisema ''Utafiti umeonyesha kuwa wagonjwa wanaougua Melanoma huathirika kwa ajili ya kuota jua kwa muda mrefu,hili linaweza kupunguzwa iwapo mtu atajikinga kutokana na jua kali. Kulingana na utafiti wao uliochunguza mada 16 tofauti na kushirikisha maelfu ya watu,unywaji wa chupa moja ya pombe moja au zaidi kila siku huongeza uwezekano wa kupata Saratani ya ngozi kwa asilimia ishirini.

WANAWAKE UCHINA WAKAMUA MAZIWA YAO KUTENGENZA SABUNI.....

0
 
Wamama nchini China wameonywa kuacha mara moja tabia ya kutengeneza sabuni za kuogea kutokana na maziwa yao wenyewe. Yaani maziwa yanayotakiwa kunyonyeshea watoto wao, wamama hawa wakiChina wanatengenezea sabuni....

Imegundulika kuwa wakina mama wengi nchini China wanatengeneza sabuni hizi na kuziuza huku 
Read More

KAMUSI YA KILATINO ILIYOANZA KUFANYIWA KAZI MIAKA 100 ILIYOPITA YAKAMILIKA...

0

Dr Richard Ashdowne, current editor of the Dictionary of Medieval Latin from British Sources
Dr Richard Ashdowne Mhariri wa sasa wa Kamusi hiyo.
 
The final part of an epic dictionary of medieval Latin is to be published this week, bringing to a close a project initiated 100 years ago.
Read More

MASHABIKI WA MPIRA WASABABISHA TETEMEKO LA ARDHI MAREKANI...

0

A celebration by football fans in the US city of Seattle grew so loud on Monday evening it registered as a minor earthquake, a research group has said.

Raucous fans jumped up and down during an early first-quarter touchdown in the game between the Seattle Seahawks and the New Orleans Saints.

The Pacific Northwest Seismic Network detected the vibrations, measuring between a magnitude 1 and 2 earthquake.

The Seahawks won the game at CenturyLink Field 34-7.
Pacific Northwest Seismic Network director John Vidale told CNN his staff recorded five separate seismic events during the game.
It was not the first time fan celebrations shook Seattle. In 2011, the response to another US football touchdown registered at nearby seismic recording stations.

NDEGE KUTUMIKA KWA HOME DELIVERY.....upo apooo????

0

Amazon, shirika la kimataifa la biashara za rejareja hasa katika mtandao, linafanya majaribio yakuweza kutumia ndege zisizohitaji rubani kwa ajili ya kufikisha mizigo kwa wateja wao kwa haraka, usalama na urahisi zaidi.

Aina hii ya ndege ziitwazo Drones, zipo za ain nyingi lakini zinaangukia makundi makubwa mawili yaani zile zinazotumiw akwaajili ya uchunguzi fulani au zinazobeba mabomu ya milipuko. Ndege hizi huendeshwa na Rubani kutoka ardhini au zinaweza kuwa katika mfumo maalumu wakufuata programu zitakazo undiwa.
Read More

ONA BARUA YA MAMA MJAMZITO KWA MWANAE....

0

UTAFITI WA MAPENZI YA DHATI WABAINISHWA KWA PICHA...ZAMA HUMU

0
Wanasayansi wamegundua jaribio jipya kwa wapenzi ambalo wanaamini ni muhimili mkubwa katika kufanikisha mahusiano mazuri, zaidi hata ya mitazamo walionayo wapenzi waliooana hivi karibuni kwa sasa.

Kwa maneno mengine, mitazamo walionayo wapenzi haielezei kwa kina mapenzi yao halisi baada ya muda mrefu kutoka sasa.

Utafiti huo umebaini kuwa, jinsi atakavyo (React) mpenzi baada ya kuonyeshwa picha ya mpenzi wake, kwa haraka haraka inaonyesha mpenzi huyu anaweza akwa mtu wa ain agani baada ya kipindi fulani katik andoa yao. Wale waliokuwa na reaction hasi, hawatafanikiwa katika ndoa yao au uhusiano wao wa muda mrefu.


Lakini wale walionesha Reaction Chanya basi wanadalili za kufanikiwa katika uhusiaqno wao.

Utafiti huu umechapishwa katika jarida la Kisayansi huko Marekani.


Read More

UTI WA MGONGO ILIOPINDA WAGEUKA LULU

0
Mwanadada mmoja ajulikanaye kwa jina la Leanne Roberts amegeuza hali ya ugonjwa au kilema alichokua nacho na mgongo uliopinda kuwa fani yake baada ya kukataa matibabu yoyote ya kioperesheni ya kuibadilisha hali yake.

Leanne mwenye umri wa miaka 18 alikua na uti wa mgamgo wenye sura ya S uliokuwa ukimletea maumivu makali na msongo wa mawazo, hata hivyo alichagua kufanya mazoezi kuliko tiba nyingine yoyote.
Leanne Roberts


Kwa sasa ni mwanamitindo anayetegemea kufanya vizuri sana katika sekta hiyo kwani hiloo umbo lake linamsaidia kuonekana anafaa sana kutokana na muonekano wake.
Hii inatukumbusha kuwa Tatizo lako linaweza kuwa faraja yako.

Read More

PAKA ATISHA POLISI KWA SIMUU...IONE HII...

0
Mapolisi katika eneo moja jijini London, nchini Uingereza walishtushwa na kwenda mara moja eneo la tukio baada ya simu ya hatari kupigwa bila ya kuwa na mzungumzaji yoyote kwa upande wa aliyepiga.

Mapolisi hawa walipokimbia wakidhani huenda aliyekumbwa na tatizo hilo yupo katika hali mbaya, wakiwa kwa nje ya nyumba hiyo walisikia kelele za kuparuana, ndipo walipovunja mlango wa nyumba hiyo na kushangazwa kumkuta paka aliyejulikana kwa jina la Bruce akicheza na paka mwenzake katika gorofa hiyo aliyejulikana kwa jina la Audrey.

Paka huyu alikuwa nyumbani, walezi wake walipokwenda kazini na huenda alikua akitafuta kujaliwa kidogo yaan “he was seeking attention”. 

Read More

NYUMBA YA STEVE JOBS SASA MAONYESHO

0
Nyumba ya mtaalamu wa Kompyuta aliyetengeneza Kompyuta ainaya Apple kuanzia mwaka 1976 sasa imegeuzwa nyumb aya maonesho.

Mabadilisho yoyote kufanyika katika nyumba hiyo sasa yatakua chini ya Uangalizi wa Kamisheni maalum.


Read More

ONA MWANAMKE ALIYEGEUKA MWANAUME KWA KUTUNISHA MISULI

0
Mwanamke huyu Candice Armstrong mwenye umri wa miaka 28, kutoka Walthamstow jijini London, ambaye amezidisha matumizi ya madawa ya kutunisha misuli na kuota nywele zaidi katika mwili wake pamoja na kuota uume wenye ukubwa wa inch 1 mabadiliko yaliyomfanya ageuke mwanaume.
Picha hii ni baada ya Candice kubadilika.


Read More

LEO NI SIKU YA KIMATAIFA YA KATUNI.. (ANIMATION) ona hizi...

0
Leo Oktoba 28 imetangazwa kuwa siku ya  Katuni duniani. Hii ikiwa inakumbuka onesho la kwanza la   la thieta ya Emile Reynaud katika makumbusho ya Grevin Jijini Paris Ufaransa mwaka  1892.


Vikundi vya aina yote vya kitamaduni hualikwa kusherehekea siku ya leo kuonyesha picha za katuni. Sherehe za aina hii hutoa fursa kwa kazi za aina hii ya Kikatuni kutumika na kusambazwa duniani.

Sherehe hizi zilianza kusherehekewa mwaka 2002, na husherehekewa katika nchi 40 tofauti.








HUYU PUNDA AMEKAMILIKA KWELI?

0
 ONA VIBWEKA VINGINE HAPA...
Read More

CHEMISTS TOO HAVE THEIR DAY

0

Mole Day is an unofficial holiday celebrated among chemists and chemistry students on October 23, between 6:02 AM and 6:02 PM.  

Mole Day originated in an article in The Science Teacher in the early 1980s. 
Many high schools around the United States, South Africa, Australia and in Canada celebrate Mole Day as a way to get their students interested in chemistry, with various activities often related to chemistry or moles.