LEO NI SIKU YA KIMATAIFA YA KATUNI.. (ANIMATION) ona hizi...
0
Leo Oktoba 28 imetangazwa kuwa siku ya Katuni duniani. Hii ikiwa inakumbuka onesho la kwanza la la thieta ya Emile Reynaud katika makumbusho ya Grevin Jijini Paris Ufaransa mwaka 1892.
Vikundi vya aina yote vya kitamaduni hualikwa kusherehekea siku ya leo kuonyesha picha za katuni. Sherehe za aina hii hutoa fursa kwa kazi za aina hii ya Kikatuni kutumika na kusambazwa duniani.
Sherehe hizi zilianza kusherehekewa mwaka 2002, na husherehekewa katika nchi 40 tofauti.