Showing posts with label Habari. Show all posts

PSQUARE YANUKIA.... TIKETI NDO HIZOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.....zama humu...

0

Katika kuendelea kuwaburudisha wapenzi wa burudani nchini Tanzania kwa kuwaalika wale mapacha Peter and Paul Okoye (Together they are (Psquare) wanaoitikisa Dunia kwa sasa kutoka Nigeria, East Africa Television Ltd imeanza mchakato wa kupatia Tiketi (TICKETS) mashabiki watakaoshuhudia burudani hiyo katika Viwanja vya Leaders Club mnamo tarehe 23 ya mwezi wa Novemba mwaka huu.

Kupata Ticketi hii ya awali, Unahitajika kutumia huduma ya M-Pesa.
1.Ingia kwenye menu
2.kisha bonyeza nunua bidhaa
3.Andika nambari ya bidha ambayo ni 111 222
4. Ujumbe utarudi ukikutaka ukubali muamal
5. Utabonyeza 1 Kukubali.
6. Receipt Yako itakuja. Tunza Message hiyo mpaka utakapoenda kwa wakala au wasambazaji wa Tiketi hizo kujipatia Tiketi yako.


Read More

TANZANIA SI RAFIKI MZURI WA UWEKEZAJI :RIPOTI

0
Kutobadilishwa kwa sera na mifumo ya uwekezaji nchini Tanzania kunaweza kuwa sababu ya kuiponza Tanzania katika orodha ya Nchi Afrika Mashariki ambazo ni rafiki wa uwekezaji yaani (business-friendly nation in the region) report.

Read More

AJALI KUBWA YA GARI MOSHII YATOKEA NAIROBI

0
Watu sita wamepoteza maish katik aajli ya kusikitisha ya Gari Moshi (Train) baada ya treni hiyo kugongana na Matatu (basi dogo aina ya daladala Mtaa wa Umoja jijini Nairobi.
Daladala hiyo ilikuwa ikikatiza katika barabara ya gari moshi ajali ilipotokea.

Shirika la msalaba mwekundu lipo  eneo la tukio na limetoa taarifa ya watu nane kufariki dunia. Majeruhi 20 wamepelekwa katika hospitali ya Mama Lucy .

Abiria wanasema mziki kwenye daladala ulikuwa mkubwa na kuwazuia kuskia honi ya treni.
Read More

ONA MWANAMKE ALIYEGEUKA MWANAUME KWA KUTUNISHA MISULI

0
Mwanamke huyu Candice Armstrong mwenye umri wa miaka 28, kutoka Walthamstow jijini London, ambaye amezidisha matumizi ya madawa ya kutunisha misuli na kuota nywele zaidi katika mwili wake pamoja na kuota uume wenye ukubwa wa inch 1 mabadiliko yaliyomfanya ageuke mwanaume.
Picha hii ni baada ya Candice kubadilika.


Read More

NDOA YA PRINCESS KOMUNTALE WA UGANDA KUSHNEHI....

2
Ilikuwa tarehe 16 ya mwezi wa kumi na moja mwaka jana Mtoto wa Mfalme wa Falme ya Tooro nchini Uganda alipoolewa na mchumba wake kutoka Marekani, (Mmarekani mweusi) Christopher Thomas.



Wawili hawa walionekana kuwa kwenye mapenzi mazito sana wakati wa ndoa ya yao na hata baada.

Read More

DOLA MILL. 54 ZAIBWA LIBYA KWA SILAHA

0
Shirika la habari nchini Libya limeripoti kuwa watu wenye silaha wameiba kiasi cha dola milioni 54 katika shambulio la basi dogo lililokuwa limebeba fedha za nchi hiyo na za kigeni za benki kuu ya Libya.

Wanaume hao kumi walilisimamisha basi hilo dogo wakati likiingia katika mji wa Sirte kutoka Uwanja wa ndege ambapo fedha hizo zilisafirishwa kilomita 500 kutoka mji mkuu wa Tripoli.
Read More

HAKUNA MAPAMBANO KATI YA POLISI NA WANANCHI :GALAWA

0
Mkuu wa Mkoa wa Tanga nchini Tanzania Luteni Mstaafu Chiku
Galawa amesema hakuna mapambano kati ya polisi na wananchi, na
wananchi kwa wanachi mkoani humo kama inavyoenezwa na baadhi ya watu kupitia mitandao mbali mbali ya kijamii.

Read More

M23 SASA WAFIKA KIAMA

0
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa katika nchi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo ameliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa waasi wa M23 ni kama wamedhibitiwa kabisa na si tishio tena.

Mjumbe huyo Martin Kobler amesema waasi wa M23 wameng'olewa katika ngome yao kuu ya Rutshuru na kwa sasa wamejikusanya wakiwa kundi dogo karibu na mpaka wa Rwanda.

Read More

ULIJUA MAGANGSTER NCHINI JAPAN HUKOSA KAZI / MIKOPO???

0
Hawa ni sehemu ya Kundi kubwa na la kibabe nchini Japana lijulikanalo kama Yakuza Gang wanajulikana kwa Tattoo zao za rangti ya Pink na ain afulani ya maisha isiyo ya kawaida.

Wengi wa watu wa aina hii hukosa kazi hata baada ya kubadili mienendo yao.

PAKA HUYU AFANYWA PUNDA...AKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA

0
Paka huyu alikamatwa na maafisa wa Polisi huko akiingiza madawa ya kulevya katika gereza moja HUKO Maldova.


Walimgundua kwasababu alikua akipitapita maeneo hayo akiingia na kutoka katika fensi ya gereza hilo kumbe shingoni mwake kabebeshwa...

HUYU ALIKUA NAFANYA NINI MPAKA AKANASA CHOONI....???

0
HEBU JIULIZE MTU HUU ALIKUA ANAFANYA NINI MPAKA KANASA CHOOONI?


KUKU NAO WAMO...

0
Baada ya wamiliki wa Kuku kubaini kuwa inaeza ikawa taabu kw akuku wao kuvuk abarabara wakati wa baridi kali hasa wanapokuwa nje..Kampuni ya Omlette imetengenza Jacket maalum kwa ajili ya kuku watakapovuka barabara....
Ona sasa...


TATTOO YAMUUNGANUSHA NA FAMILIA

0
Indian police commando, Ganesh Raghunath Dhangade (R), shows a tattoo to his family in Thane district on the outskirts of Mumbai on October 16, 2013.
Dhangade akiwa na mama yake kushoto na nduguze
Polisi mmoja katika jiji kubwa la India Mumbai ambaye alipotea katika stesheni ya reli miaka 24 iliyopita, sasa ameungana na familia yake kwasababu tu ya tattoo aliyokuwa nayo mkononi.

Mwanaume huyu ajulikanaye kwa jina la Ganesh Raghunath Dhangade alikuwa mwenye umri wa miaka 6 alitengana na wazazi wake. Baada ya kutengana huko, alilelewa katika vituo vya watoto yatima mpaka ukubwa wake alipoanza kuisaka famili yake.

Kilichokuwa kinasaidia katika msako huo ni Jina "Manda"ambalo mamaake aliliandika katika mkono wa Mtoto wake wa kulia. Katia pitapita zake alifika katika nyumba moja na kumuona mama mtu mzima ambaye  alipoiona Tattoo yake mkononi alipiga kelele za shangwe huku akitokwa na machozi.

Majirani nao walikuja kufurahi pamoja na mama huyu... Mtoto ake aliyepotea alirejea nyumbani.

ONA MAAJABU YA POP CORN..."BISI"

0




Popcorn

Tafiti iliyofanyika katika chuo cha  Colge huko mbele zinasema kuwa, kutafuna pocorn wakati wa kutizamam Runinga kunaweza kumfanya mtu asikumbuke kabisa matangazo.

Hii ni kwasababu inaaminika kuwa iliukumbuke tangazo lazima utamke jina la bidhaa inayotangazwa. Lakini mtu akiwa anatafuna kitu atashindwa kutamka neno hivyo kushindwa kuifahamu bidhaa inayotangazwa.

HASARA KUBWA KWA WATANGAZAJI WA BIDHAAA.....????

HATA HIVYO UTAFITI UMEENDELEA KUONESHA KUWA, kutafuta bigijii kunaqwezakumfanyamtu kuw amakini kw amud amrefu kwani unalainisha mzunguko wa damu maeneo ya kichwa.

Upo hapo..walimu darasani hawana budi kuruhu bigijii kwa misingi hii...Toam maoni yako.

TAYLOR SWIFT ON POINT

0

Japo this young beautiful and talented woman is not loved by many Blacks huko Mbele....I am so in love with her.

I love her fine presence...She is just so fine....

Mdada huyu asiyeish askendo z akimahusiano kwani ni kati ya mastaa wenye klist ndefu ya ma Ex, Taylor anajitolea sana kwa jamii yake kwani hivi karibuni ameweza kuanzisha kituo cha Elimu kijulikanacho kama Taylor Swift Education Centre huko Nasville Marekani.

Taylor amewahi kushinda tuzo karibia 200, kwanzia kufanya kazi na Big Machine Records in 2008. Tuzo hizo ni pamoja na Grammys 7, Billboard Music awards 12, The Academy of Country Music ilimpa 7 huku akizoa 11 kutoka American Music awards.

AFRIKA YAISHUTUMU ICC KUWA YAKIONEVU, KESI YA UHURU NA RUTO KUCHELEWESHWA

0

Kenyan President Uhuru Kenyatta, right, is scheduled to appear in front of the International Criminal Court next month. Deputy President William Ruto, left, is on trial now.
Rais Uhuru Kenyatta kulia, anayetegemewa kuanza kusomewa kesi yake mwezi ujao. Makamu wake William Ruto kushoto anayeendelea na kesi hivi sasa. 

Viongozi wa Afrika katika mkutano ulioanza hii leo waelezea kuwa kumekuwa na haja ya kuzungumzia swala la ICC kwa umoja kwani ICC imekuwa ikiionea Afrika.
Hata hivyo vyama na taasisi za haki za binadamu zinadai kuwa Afrika inaihitaji ICC ili kuhakikisha haki na usawa kwa wote.

Marais wa Kenya na Rais wa Sudan wanazo kesi na ICC.

WAHAMIAJI HARAMU WAKAMATWA... WAKOSA PUMZI NDANI YA LORI

0
Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro limewakamata wahamiaji haramu 16, wanaodhaniwa kutokea nchini Somalia ndani ya Lori lililobeba shehena ya chokaa na hali zao ni mbaya kutokana na kukosa pumzi.


MEDITERRANEAN YAGEUKA SEHEMU YA MAKABURI...

0
Waziri mkuu wa Malta Joseph Muscat amesema kuwa maji yanaizunguka Ulaya huenda yakageuka sehemu ya kuzikia baada ya ajali nyingi kutokea kila mara na kuua mamia ta watu.

Amesema ukanda wa ulaya unaoungana Afrika ndiyo ulioathiriwa zaidi. Amesma hayo baada ya boti nyingine kuzama na kuua zaidi ya watu hamsini. Hii ni mara ya tatu wiki hii, boti kuzama ukanda huo na kuua.

Kumbuka kuzama kwa boti nyingine karibu na kisiwa cha Lampedusa huko Italia siku kadhaa zilizopita.


 HABARI ZAIDI KATIKA PICHA






WANADAMU WAKUTWA NA VINASABA VYA MIAKA 5300 ILIYOPITA

0
Wanasayansi wametafiti vinasaba vya binadamu aliyehifandhiwa kwa miaka 5300 ajulikanaye kama Oetzi the Iceman, na kukuta uhusiano wa vinasaba hivyo na binadamu 19 waishiyo sasa huko Austria.

REVOLUTION AT STAKE...

UMOJA WA MATAIFA MAHAKAMANI

0