Wanasheria wa haki za binadamu wamewafungulia kesi Umoja wa Mataifa jana, kufuatia kutafuta fidia ya wananchi wa Haiti ambapo zaidi ya Familia 8000, zimekumbwa na janga la kupoteza ndugu jamaa na marafiki kufuatia kuibukla kwa kipindupindu nchini Haiti.