KUTANA NA KIJANA ISIKE SAMUEL : MFANO WA KUIGWA

0
ISIKE SAMUEL
Isike Samule ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 20 kwa sasa. Amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake mzuri wa kuandaa filamu.

Tofauti na watoto au vijana wengi wanaoon akupotelewa na wazazi ni changamoto inayowaleta nyuma maishani, Isike hakuruhusu hili limuharibie maisha yake au kumpotezea ndoto zake.

Sasa katik aumri wa miaka 20 tu, Isike Samuel ameweza kutayarisha takriban Filamu 20 zenye mvuto na tija.

Wakubwa kwa wadogo hawana budi kujifunza.

0 comments: