UNAJUA NA CHOCOLATE INA SIKU YAKE....
0
Kwa wale wapenzi wa Tam Tam...You ought to grab some chocolate cupcake today coz it is Chocolate Cupcake day.
Wanasayansi katika chuo cha Harvard walifanya utafiti na kugundua kuwa, Coco, yaani msingi wa matengezo ya chocolate, (raw material) ni muhimu sana kwa ajili ya ngozi, mapigo ya moyo, na mzunguko wa damu.
Wanawake 20 walipewa kikombe cha COCOA kila siku na kubaini kuwa baada ya miezi miwili ngozi zao ziliisha mikonjo...zikawa za kung'aa na wakaonekana wadogo zaidi ya umri wao.

Drinking Chocolate makes one happy. |