DHUHULO, GAIDI ANAYEDHANIWA KUWA KATI YA WALIOISHAMBULIA WESTGATE?

0
ANAYEDHANIWA KUWA NI HASSAN ABDI DHUHULOW


Hassan Abdi Dhuhulow, ni mwanacnhi wa Norway, ambaye inaaminika kuwa alihusika katik ashambulio la kigaidi la West Gate nchini Jijini Nairobi nchini Kenya. Dhuhulow alionekana kupitia camera zaa CCTV.

Wakati ikijulikana kulikuwa na magaidi 10-15, imebainika kuw ani magaidi 4 tu waliokuwepo.
Dhuhulow alizaliwa Somalia, lakini Familia yake ilienda Norway kama wakimbizi mwaka 1999.

Ndugu mmoja aliliambia shirika la habari la BBC kuwa Dhuhulow alirudi Somalia 2009 na hakua akiwasiliana mara kwa mara. Hata hivyo alipozungumza na familia yake hivi karibuni, aliwaambia kuwa apepatwa na matatizo anataka kurejea Norway.


Hata hivyo jirani huko Norwaya lisema kuwa, Dhuhulo alikuwa mkorofi sana na hakupenda kabisa maisha ya Norway. Alipigana hovyo jamboa ambalo lilimpa tabu baba yake.



Hata Hivyo Dhuhulow aliwaachiwa na polisi baada ya kukamatwa kwa mauaji ya mwandishi wa habari huko Somalia. Wakati mwenzanke ndiye aliyeuwa, Dhuhulow alidhaniwa kuwa alishiriki katika mipango ya kumuua muandishi huyo.


Zaidi ya watu 67 walifariki katika shambulio la West Gate.

0 comments: