INDIA, MAURITANIA ZAONGOZA KWA WATUMWA DUNIANI

0
Siku hii ya kupiga vita Utumwa duniani ilianza kuadhimishwa mwaka 2010 baada ya kuwa kama sheria Huko Uingereza. Dhumuni kubwa la siku ya leo ni kutoa fursa kwa jamii, taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali kuliangalia swala hili kwa undani zaidi. Kwa sisi hapa Tanzania tuanaweza kuona ni swala dogo lakini (HUMAN TRAFFICKING) NI TATIZO KUBWA SANA DUNIANI.

Mswada huu wa sheria kabla ya kupitishwa uliwekwa mezani na Anthony Steen. Mswada huo unazungumzia utumwa wa sasa, ajira za kulazimisha, ajira kwa watoto na ukatili wa kijinsia.

Anthony Steen



Unafahamu kwamba utumwa sio lazima kubebwa kwenye meli na kupelekwa Marekani ya Kusini, Asia au Ulaya?

Unadhani unahusika katika vita hii dhidi ya Utumwa?
Ikiwa tunaadhimkisha kupinga utumwa duniani hiileo takwimu zilizotolewa na (Global slavery Index) zimebaini kuwa, India ni nyumbani kwa zaidi ya nusu ya watumwa Milioni 30 wa kisasa.

Takwimu hizi kutolewa za kwanza za aina yake zinadai kuwa wapo takribani watu mill.13.9 wanaoishi kama watumwa nchini India. China yenyewe ina watu Mill. 2.9 ikifuatiwa na Pakistan yenye Mil.2.1huku Nigeria ikiwa na tarkriban Laki 7 na Ethiopia watumw alaki 6. and Ethiopia 0.6m.


Lakini idadi ya watumwa ikilinganishwa na idadi ya watu nchini Basi Mauritania ndiyo inayoongoza, ikifuatiwa na Haiti,  Pakistan, India na Nepal. Takwimu hizi zimechambuliwa na Walk Free Foundation.


Hilary Clinton, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani, na Gordon Brown waziri mkuu wa Uingereza aliyepita wamehimiza kumaliza tatizo hili haraka kwani takwimu zilizotolewa zinatisha.

0 comments: