NDEGE NCHINI GHANA YAGEUKA MGAHAWA ...ONA ILIVYO YA KISASA

0
Ndege iliyokuwa imechakaa ya kampuni ya Ghana Airways imegeuzwa na kuwa mgawa wakuweza kuhifadhi  zaidi ya wateja 118 ikiwa inauwezo wa kuhudumia wasafiri katik auwanja wa ndege na hata wenyeji wanaopendelea kupata chochote katika mgahawa huo.

PICHA TANO ZA KUSISIMUA ZA MGAHAWA HUO ....ZAMA HUMU






 Ndege hiyo ya kitaifaDC-10, ilifanyiwa marekebisho na kugeuzwa kuwa mgahwa mpya wa La Tante Restaurant DC 10, iliyopo pembezoni mwa Eneo la kununulia bidhaa la Marina Shopping Mall katik auwanja w andege wa kimataifa wa Accra.

 Mgahwa huu umejaa viyoyozi, viti yenye nakshi ya kimataifa pamoja na mabafu ya wanawake na wanaume yenye hadhi ya kimataifa.
 




0 comments: