BONDIA Vitali Klitschko AWASHA MOTO SIASA ZA UKRAINE. SOMA KWA KINA...

0
Mapigano na ghasia zimesitishwa kwa muda nchini Ukraine wakati Rasi wa nchi hiyo Viktor Yanukovich akifanya mazungumzo na upinznai nchini humo. Kusitishwa kwa mapigano hayo kulikoanza hapo jana, ni baada ya siku kadhaa za mapigano mjini Kiev ambapowaandamanji watatu walipoteza maisha.

Waandamanaji hao walisitisha ghasia kwanzia jumatano kufuatia amri ya viongozi wao wa upinzani waliowataka waache ghasia mpaka mda aliopewa Rais Yanukovich wa kuachia madaraka kumalizika.
Rasi huyu alipewa masaa 24 kuachia ngazi.

Waandamaji hao wanataka Rais aivunje serikali na kuita chaguzi mapema na kufutilia mbali sheria inayonyima maandamano. Aliyekuwa bondia na kugeuka mwanasiasa mashhuhuri nchini humo Vitali Klitschko, ambaye pia ni kiongozi w aupinzania w achama cha UDAR (Punch), alisema Rais Yanukovich anatakiw aanze kw akuachia matek waliokamwatwa wakati wa maandamano hayo.


0 comments: