Hivi Ndivyo Afande Sele anavyoadhimisha...
0
Mkongwe
wa sanaa ya muziki wa kizazi kipya Bongo, Afande Sele naye amekuwa
moja kati ya wasanii ambao wameamua kufanya kitu kwa ajili ya
kuadhimisha siku ya wapendanao ambayo siku ya leo pia huko Morogoro
anaachia ngoma mpya aliyoipatia jina 'Mshenga'.
Afande
Sele pia kupitia mpango wa kuachia ngoma ngoma hii ambao utaambatana
na show maalum kwaajili ya wapendanao katika siku hii muhimu kwao,
amekuwa na ujumbe maalum wa upendo kwaajili ya mashabiki wake ambapo
amewataka kutokupotosha maana ya Valentine Day kama anavyoeleza
mwenyewe hapa.