Ona Kinachomliza mama wa Justin Bieber...
0
Mama
wa staa wa muziki Justin Bieber, Pattie Mallete ameweka wazi kuwa
amekuwa akiteseka na kuhangaishwa sana na taarifa za mtoto wake
kuingia matatizoni na vyombo vya dola na pia kujihusisha na maswala
ya ulevi, kama ambavyo mama mwingine yoyote anavyojisikia anapoona
mtoto wake anakwenda katika njia isiyofaa.