PSQUARE YANUKIA.... TIKETI NDO HIZOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.....zama humu...

0

Katika kuendelea kuwaburudisha wapenzi wa burudani nchini Tanzania kwa kuwaalika wale mapacha Peter and Paul Okoye (Together they are (Psquare) wanaoitikisa Dunia kwa sasa kutoka Nigeria, East Africa Television Ltd imeanza mchakato wa kupatia Tiketi (TICKETS) mashabiki watakaoshuhudia burudani hiyo katika Viwanja vya Leaders Club mnamo tarehe 23 ya mwezi wa Novemba mwaka huu.

Kupata Ticketi hii ya awali, Unahitajika kutumia huduma ya M-Pesa.
1.Ingia kwenye menu
2.kisha bonyeza nunua bidhaa
3.Andika nambari ya bidha ambayo ni 111 222
4. Ujumbe utarudi ukikutaka ukubali muamal
5. Utabonyeza 1 Kukubali.
6. Receipt Yako itakuja. Tunza Message hiyo mpaka utakapoenda kwa wakala au wasambazaji wa Tiketi hizo kujipatia Tiketi yako.



Kwa wale wa mikoani, unaweza kufanya hivyo hivyo, ukija wakati huo, Tiketi zitakuwepo kwa ajili yako.
Kama Unahitaji Tiketi zaidi ya Moja unafanya hivyo hivyo. NI RAHISI, SALAMA NA YA KUAMINIKA.






Usiponunua Tiketi yako mpaka tarehe 18 Mwezi wa 11 Utaipata kwa shilingi 35,000. Ukisubiri zaidi mpaka mplangoni basi utaipata kwa Shilingi 50,000.





0 comments: