NYUMBA YA STEVE JOBS SASA MAONYESHO

0
Nyumba ya mtaalamu wa Kompyuta aliyetengeneza Kompyuta ainaya Apple kuanzia mwaka 1976 sasa imegeuzwa nyumb aya maonesho.

Mabadilisho yoyote kufanyika katika nyumba hiyo sasa yatakua chini ya Uangalizi wa Kamisheni maalum.




Kwa sasa anaishi mama wa kambo wa Steve katika nyumba hiyo. Hata hivyo, Mmiliki w anyumb ahiyo kwa saa ni dada Steve ambaye ameruhusu marekebisho hayo.

Steve Jobs alifariki mnamo mwaka 2011akiwa na umri wa miaka 56. Alianza kutengeza programu hiyo mwaka 1976.







0 comments: