TANZANIA SI RAFIKI MZURI WA UWEKEZAJI :RIPOTI
0
Kutobadilishwa kwa sera na mifumo ya uwekezaji nchini Tanzania kunaweza kuwa sababu ya kuiponza Tanzania katika orodha ya Nchi Afrika Mashariki ambazo ni rafiki wa uwekezaji yaani (business-friendly nation in the region) report.
Tanzania
imeshuka kwa nafasi 12 katik aripoti ya hali ya uwekezaji na biashara hya mwaka 2013/2014 iliyotolewa jana kupitia dirisha la uwekezaji lisilola kiserikali la Benki ya dunia. Tanzania inashikilia nafasi ya 145 duniani.
Rwanda ambayo imekuwa ikifanya mabadiliko ilikuvutia uwekezaji imechukua nafasi ya juu zaidi Afrika mashariki,Huku Burundi ikipiga hatua sana mpaka kuipiku Tanzania.