AJALI KUBWA YA GARI MOSHII YATOKEA NAIROBI
0
Watu sita wamepoteza maish katik aajli ya kusikitisha ya Gari Moshi (Train) baada ya treni hiyo kugongana na Matatu (basi dogo aina ya daladala Mtaa wa Umoja jijini Nairobi.
Daladala hiyo ilikuwa ikikatiza katika barabara ya gari moshi ajali ilipotokea.
Shirika la msalaba mwekundu lipo eneo la tukio na limetoa taarifa ya watu nane kufariki dunia. Majeruhi 20 wamepelekwa katika hospitali ya Mama Lucy .
Abiria wanasema mziki kwenye daladala ulikuwa mkubwa na kuwazuia kuskia honi ya treni.