HAKUNA MAPAMBANO KATI YA POLISI NA WANANCHI :GALAWA
0
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga nchini Tanzania Luteni Mstaafu Chiku
Galawa
amesema hakuna mapambano kati ya polisi na wananchi, na
wananchi
kwa wanachi mkoani humo kama inavyoenezwa na baadhi ya watu kupitia
mitandao mbali mbali ya kijamii.
Mkuu huyo wamkoa
wa Tanga amesema kuna kikundi cha watu kimekuwa kikihamasisha
watu kwenda mkoani humo kufanya fujo kwa lengo la kuwaokoa
wenzao waliokamatwa hivi karibuni.