MBUNGE WA CHALINZE SAID RAMADHANI BWANAMDOGO AFARIKI DUNIA.

0

Mbunge wa jimbo la Chalinze (CCM) Said Ramadhani Bwanamdogo amefariki dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupo ya MOI alipokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Ofisi ya bunge inaendelea na taratibu za mazishi kwa kushirikiana na familia ya marehemu

0 comments: