MEDITERRANEAN YAGEUKA SEHEMU YA MAKABURI...

0
Waziri mkuu wa Malta Joseph Muscat amesema kuwa maji yanaizunguka Ulaya huenda yakageuka sehemu ya kuzikia baada ya ajali nyingi kutokea kila mara na kuua mamia ta watu.

Amesema ukanda wa ulaya unaoungana Afrika ndiyo ulioathiriwa zaidi. Amesma hayo baada ya boti nyingine kuzama na kuua zaidi ya watu hamsini. Hii ni mara ya tatu wiki hii, boti kuzama ukanda huo na kuua.

Kumbuka kuzama kwa boti nyingine karibu na kisiwa cha Lampedusa huko Italia siku kadhaa zilizopita.


 HABARI ZAIDI KATIKA PICHA






0 comments: