AFRIKA YAISHUTUMU ICC KUWA YAKIONEVU, KESI YA UHURU NA RUTO KUCHELEWESHWA

0

Kenyan President Uhuru Kenyatta, right, is scheduled to appear in front of the International Criminal Court next month. Deputy President William Ruto, left, is on trial now.
Rais Uhuru Kenyatta kulia, anayetegemewa kuanza kusomewa kesi yake mwezi ujao. Makamu wake William Ruto kushoto anayeendelea na kesi hivi sasa. 

Viongozi wa Afrika katika mkutano ulioanza hii leo waelezea kuwa kumekuwa na haja ya kuzungumzia swala la ICC kwa umoja kwani ICC imekuwa ikiionea Afrika.
Hata hivyo vyama na taasisi za haki za binadamu zinadai kuwa Afrika inaihitaji ICC ili kuhakikisha haki na usawa kwa wote.

Marais wa Kenya na Rais wa Sudan wanazo kesi na ICC.

0 comments: