HOFU YA KIM SASA BAAAAAASI.

0

Furahia Picha....
Got a sexy girlfriend....Please SHOW OFFFFFF

If yo ride is cool...the better.

yeah...what''eeeevvvrrrrr


In her Grey draped Donna Karen dress with, Saint Laurent sand-colored suede heels (she loves the heels)

jus lovin how naive Kim looks...t makes her sexier......


Hofu ya Mwanadada Kim Kardashian kuwa kwamba huenda asirejee katika umbo lake la kukata na shoka baada ya Uzazi imefutiliwa mbali, baada ya Kim Kuonekana na umbo lake matataaaaaaaaaaaaaaaaaa jana alipokuwa na mtoko na mpenzi wake Kanye West.

Kim, mwenye Umri wa miaka 32 na mpenzi wake Kanye West mwenye umri wa miaka 36 walionekana wenye furaha huku wakifanya show off ya hatari walipotimba eneo la tukio na gari lao Lamborghini ya rangi nyeusi.


0 comments: