MIKE SONKO , SHEBESH. YALIYOMO YAMOOOOOOOOO?

0
Mike Sonko ni kiongozi wa bunge la juu nchini Kenya yaani Senate. Tena wa jiji la Nairobi.
Sonko amejizolea umaarufu mkubwa hasa kwa vijana kutokana staili yake ya maisha.Jina "Sonko" ni sheng yenye kumaanisha "Mshua"...Jina lake halisi ni "Mbuvi Gidion Kioko".

Mike Sonko
Alijizolea umaarufu zaidi na kuweza kushika wadhifa huo baada ya kuwa mtoaji sana. Amesaidia makundi  mengio yasiyojiweza kama watotona wazee jijini Nairobi. Ila kama kijana mwingine anayependa maisha, amekuwa akishutumiwa kutumia pesa kupita kiasi kwa starehe.

Ok This is not our Business...IT IS HIS MONNNEEEEY OOOH!!!!!

Shebesh ni mwanamke mashuhuri pia nchini Kenya. Yeye ni mwakilishi wa wanawake wa Nairobi katika bunge la Kenya. Ameolewa na mume wake anajulikana kwa jina la Frank.

Viongozi hawa wawili wanakila sababu ya kuwa pamoja kikazi kutokana na kushiriki eneo moja la kazi.   


Lakini jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hii sasa imezidi.

Shebesh na sonko wamekuwa na mahusiano yanayoleta utata katika jamii hasa viongozi wajuu wanapofanya yale wasiotegemewa kufanya bila hata kificho.

Zipo Ibara za katiba ya Kenya z akimaadili zinzozuia mahusiano yasiyo rasmi kwa viongozi wajuu.
Hili kwa Sonko Na Shebesh sio muhimu sana kwao.

Mnamo mwezi Aprili Mke wa Sonko aliwahi kutishia kuachana naye kutokana na uvumi kuwa anatoka na mwanamama Shebesh....Je Kuna Ukweli wowote? na Hizi Picha zimetengezwa kama wanavyodai wao?
Having some sweet nap
Is Shebesh Yawning or what?

 Hivi karibuni Shebesh alipigwa kibao na Gavana wa jiji la Nairobi Bw. Kidero baada ya kuleta fujo ofisini  Kwake.
In Kidero (the governor's) Office

After the fight at the Governor's office

 Naona ndipo akajiuliza hili....
 

 Hivi Mume wake anaelewa kweli?  

Shebesh na Mumewe Frank



Shebesh akiwa na Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta

U must've forgotten sweetheart



 Tafakari Picha hii.....Kisha .....Toa maoni yako.




0 comments: