Wamama nchini China wameonywa kuacha mara moja tabia
ya kutengeneza sabuni za kuogea kutokana na maziwa yao wenyewe. Yaani
maziwa yanayotakiwa kunyonyeshea watoto wao, wamama hawa wakiChina
wanatengenezea sabuni....

Imegundulika kuwa wakina mama wengi
nchini China wanatengeneza sabuni hizi na kuziuza huku
madaktari wakizipiga marufuku.